Mifano 50 ya vitate

Posted by:

|

On:

|

Vitate ni maneno mawili au zaidi yanayofanana kwa sauti lakini hayana maana sawa. Hii hapa ni mifano 50 ya vitate.

Mifano ya vitate

 1. Fahali na fahari
 2. Ndoa na doa
 3. Kalamu na karamu
 4. Mahali na mahari
 5. Baba na papa
 6. Chakula na chakura
 7. Kula na kura
 8. Shida na shinda
 9. Vaa na faa
 10. Futa na vuta
 11. Povu na bovu
 12. Kucha na kuja
 13. Bibi na pipi
 14. Mbwa na mpwa
 15. Janga na changa
 16. Masishi na mazizi
 17. Pesa na beza
 18. Kazi na Kasi
 19. Punda na bunda
 20. Ndevu na ndefu
 21. Vundo na fundo
 22. Pora na bora
 23. Susu na zuzu
 24. Fahali na fahari
 25. Mahali na mahari
 26. Kali na ghali
 27. Panda na banda
 28. Shaka na chaka
 29. Shoka na choka
 30. Daka na taka
 31. Mtutu na mdudu
 32. Mkuu na mguu
 33. Saa na zaa
 34. Soga na soka
 35. Sima na zima
 36. Kibubu na kipupu
 37. Saibu na shaibu
 38. Chua na jua
 39. Nje na Je
 40. Ama na Hama
 41. Bata na Pata
 42. Chini na jini
 43. Choka na joka
 44. Dada na tata
 45. Doa na toa
 46. Dua na tua
 47. Dumia na tumia
 48. Fuja na vuja
 49. Ndani na dani
 50. Goma na koma

Comments are closed.