Wingi wa nyumba ni nini?

Posted by:

|

On:

|

,

Nyumba ni nomino ya kawaida. Nomino ya kawaida ni nomino ambayo inarejelea vitu mbalimbali.

Mifano ya nomino ya kawaida:

  • Nomino za watu kama mwanamke.
  • Nomino za wanyama kama ng’ombe.
  • Nomino za vitu kama nyumba.

Nyumba ni nomino ya kitu, jengo ambalo linatumika kama makazi.

Wingi wa nyumba ni nyumba.

Tunasema nyumba mbili ama nyumba nyingi, haibadiliki.

Mifano wa kutumia wingi wa nyumba kwa sentensi

  • Kwao wako na nyumba tatu.
  • Kuna nyumba nyingi kwetu.
  • Walijenga nyumba tano.