Picha za kutisha

Posted by:

|

On:

|

Hapa ni baadhi za picha za kutisha zenye zinaweza kuandama katika ndoto zako za jinamizi.

Picha za kutisha

Asili inakutazama kila wakati.

Kundi la kondoo linalopanga jambo baya na la kutisha.

Mnyama wa kutisha? Ni dubu tu asiye na nywele.

Number 2 haitaenda sawa!

Paka huyu anayekaa kama mwanadamu.

Kivuli hiki cha kutisha sana.

Paka huyu amenyolewa, anakaa kushtua

Mwamba huu unaonekana sana kama fuvu.

Sijui hii ni nini, lakini nachukia sana kuitazama.

Nikama ni maski za virusi ama nini?

Mifupa ya nyoka ama nini hii?

Ndio hii peremede, kula.

Upatane nao usiku ukienda kulala

Hello, niko chini ya kitanda.

Mchoro wa kutisha kweli kweli.

Hizi hapa ni picha zingine za kutisha: