Sheng Love Quotes for Her

Posted by:

|

On:

|

,

Mapenzi ni emotion ingine deadly sana yenye iko na uwezo wa kutugusa mioyo yetu in a most profound way.  Time ikifika ya kuexpress your love for that special woman in your life, maneno matamu yanaweza kukusaidia kufanya hivyo. Hata kama ni your girlfriend or your wife, kushare love quotes for her inaweza communicate vile unafeel ama unamuappreciate. Kwa hii blog post, nimekusanya more than 30 sheng love quotes for her, zenye unaweza kumtumia manzi yako ama wife yako, to keep the fire burning in your relationship.

Sweet Sheng Love Quotes for Her

 • “Wewe ni kama sunshine that brightens my darkest days, and the moonlight yenye inaniguide through the night”
 • “Kwa tabasamu yako, ninaona something more beautiful than the stars”
 • “Mapenzi yangu kwako ni kama safari yenye inaanzia eternity na yenye haina mwisho”
 • “Kila time nikiwa na wewe ni kama a beautiful dream come true.”
 • “Mapenzi yako ni kama a melody yenye inafanya moyo wangu kuimba.”

Deep and Emotional Sheng Love Quotes for Her

 • “Wewe ni my other missing half mwenye nimekuwa nikisaka my entire life.”
 • “Mapenzi is not about siku, miezi ama miaka gapi tumekuwa Pamoja, but ni kiwango gani ninakupenda each and every single day.”
 • “Mapenzi yangu kwako haina mipaka; inaextend to infinity.”
 • “Hujagusa moyo wangu tu, but also umenigusa nafsi yangu pia.”
 • “Pamoja na wewe, nimepata upendo ambao sikujua kuwa upo, na furaha ambao sikutarajia nitapata.”
 • “Moyo wangu haupigi; bali huimba wimbo wa mapenzi whenever you’re near.”
 • “In your laughter, ninapata furaha, na kwa machozi yako, ninadiscover my purpose—to always be there for you.”
 • “Sometimes, ninakosa maneno ya kuexpress my love for you, cause moyo wangu hufurikwa na emotions kibao sana.”
 • “Ninapokutazama machoni, I see love yenye ni pure, timeless, and everlasting.”

Flirty Sheng Love Quotes for Her

 • “I must be like a rain drop cause I’ve fallen for you.”
 • “Uko na google map? Cause nimekaalost in your eyes.”
 • “Wewe ni the reason nilibelieve in love at first sight.”
 • “Unabelieve in love at first sight, or nitembeze kiatu?”
 • “Wewe ni mganga? Cause after kukuangalia, kila dem hupoteza maana kwangu.”
 • “Kwani uko na Wi-Fi? Cause nimefeel a connection with you.”
 • “Uko na sweet nickname, ama nikuite tu “Babe”?”
 • “Kwani uko made up of copper and tellurium? Cause you’re so Cu-Te.”
 • “Uko na rubber? Cause nataka nifute your past na niandikie our future.”
 • “Kwani moyo wako ni benki? Cause nataka kusave in it forever.”
 • “Unaenza kunikopa busu lako? Ninapromise kugive it back.”

Encouraging Sheng Love Quotes for Her

 • “Ninakubelieve, and I’ll always support and love you through it all.”
 • “Ukocapable kuachieve great things, and I’ll cheer you kwa every step you make along the way.”
 • “Your strength and determination hunitia moyo kila siku.”
 • “Hata kama kukuwe na obstacles on our way, we’ll overcome them together cause mapenzi yetu ni unbreakable.”
 • “Nikiwa na wewe ninapata courage to be the best version of myself.”

Classic Sheng Love Quotes for Her

 • “Love ni patient, love ni kind. Inaprotect, inatumaini, inakupatia hope, na inakufanya upersevere for a better tommorow.”
 • “Vitu bora na nzuri zaidi katika ulimwengu huu haviwezi kuonekana au hata kusikika, but must be felt with the heart.”
 • “Kupenda na kupendwa nikama kufeel the sun from both sides.”
 • “Mimi ni wako, siwezi kujitoa kwako.”

Hizi sheng love quotes ni perfect kwa kuexpress your feelings for her. Unaenza kutumia kuandika letter, kama SMS au ujumbe. They are sure kuconvey the depth of your emotions kwa manzi yako.

Comments are closed.