Aslay: Kwa Raha Lyrics na SMS za Kulalamika kwa Mpenzi

Posted by:

|

On:

|

Hapa kuna Kwa Raha Lyrics by Aslay. Mwishoni utapata jumbe za usaliti tumeunda kutoka kwa hizi lyrics zenye unaenza mtumia mpenzi wako ili kulalamika kwa mapenzi mliopoteza.

Aslay: Kwa Raha Lyrics

Umenipukutisha, umeniacha kama bwege

Umenipa ugonjwa kama ule degedege mmh

Sina hata thumni ya kununua chipsi zege

Nikianza kulia machozi yanajaza debe, (debe)

Imani na hitaji la moyo wako sikulijua, kumbe

Kwangu ulitaka kipato ukakimbia aah

Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe

Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua, aii weh

Masura wa moyo wanguu mama ndiye

Uliyeniacha mimi njia paanda

Umeondoka na moyo wangu mama

Wakati mwenzako nilishakupenda

Ulipenda kuforce hata kama sitaki

Yani bundle lako la kutumia unataka laki, ah

Meshanifilisi eti haunitaki

Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda

Kwa rahaa (saawa)

Kwa raha zako, (kwa rahaa)

Kwa rahaa

Ponda tu mali zangu we dadaa

Kwa raha

Kwa raha zako (kufa kwaja)

Kwa raha

Atanilipia mungu baba baba, iye, kwa rahaa

Kwa raha zako kwa rahaa

Ona sasa

Umeniachia mdeni kwa yule mama Sikudhani

Kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku

Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi

We mbona huna shukurani naumbuka huku

Kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa

Nashindwa kukopa aaeeh

Madeni uloniachia nashindwa kulipa ee

We masura wa moyo wangu mama

Ndiye uliyeniacha mimi njia paanda

Umeondoka na moyo wangu mama

Wakati mwenzako nilishakupenda

Ulipenda kuforce hata kama sitaki

Yani bundle lako la kutumia unataka lakii

Na umeshanifilisi eti haunitaki,

Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeenda

Kwa rahaa (saawa)

Kwa raha zako(kwa rahaa)

Kwa rahaa

Ponda tu mali zangu we dadaa, iye iye

Kwa raha (eyayayaah)

Kwa raaha zako (kufa kwaja)

Kwa rahaa (atanilipia mungu baba baba)

Kwa rahaa

Kwa raha zako, kwa rahaaa …

Sms za uchungu wa mapenzi kutoka kwa “Aslay Kwa Raha Lyrics”

  • “Umeniacha kama bwege, umeniacha na ugonjwa kama ule degedege. Sina hata thumni ya kununua chipsi zege. Machozi yanajaza debe ninapoanza kulia. Nilikuwa nakupenda sana, lakini ulinitumia na kuniacha. Sina furaha tena.”
  • “Ulikuwa ni sura ya moyo wangu, lakini umenifilisi. Umeniachia madeni mengi ambayo siwezi kulipa. Sina thamani tena machoni pako. Sina matumaini tena ya maisha.”
  • “Ulikuwa ni mpenzi wangu, lakini umenidanganya. Ulinipenda kwa sababu ya pesa zangu. Ulipopata kile ulitakacho, ukaniacha. Siamini tena katika mapenzi.”
  • “Ninakupenda sana, lakini siwezi kuendelea nawe. Umenichosha. Umeniumiza. Sitaki tena kuumia.”
  • “Nimekusamehe, lakini siwezi kukusahau. Utakuwa daima moyoni mwangu. Lakini sasa ninaendelea na maisha yangu.”