Hapa chini kuna “we ni wangu lyrics” by Belle 9. Mwishoni utapata jumbe za mapenzi kutoka kwa huu wimbo, zenye unaenza tumia kama sms ama meseji za kumtumia mpenzi wako.
Belle 9: We Ni Wangu Lyrics
We unanifaa
We unanifaa
We ni wangu unanifaa
Sipagawi, sichachawi na machangu wa Dar, au sio maa?
Hivyo ndivyo mamaa
Njoo unipe love kwenye shida na raha
Raha, raha, raha
We ni wangu unanifaa
Sipagawi, sichachawi na machangu wa Dar, au sio maa?
Hivyo ndivyo mama
Njoo unipe love kwenye shida na raha
Raha, raha, raha
We ni wangu, we ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu, we ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Wewe, kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Oh yeah
Huna ujiko, na mi sina mshiko
Kwenye love tume-settle ile bomba
Tukipata twashukuru, tukikosa twalala
Ili mradi siku zinakwenda
Huna ujiko, na mi sina mshiko
Kwenye love tume-settle ile bomba
Tukipata twashukuru, tukikosa twalala
Ile kisela siku zinakwenda
Kama ni pamba uta-shine
Kwa mnyamwezi Belle 9
Usijali mimi ni wako
Nipo tayari hata twende kanisani
Ama kwa wazazi si tukale kiapo
Kama ni pamba uta-shine
Kwa mnyamwezi Belle 9
Usijali mimi ni wako
Nipo tayari hata twende kanisani
Ama kwa wazazi si tukale kiapo, my baby
We ni wangu, wee ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu, wee ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Wewe, kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Oh yeah
Mimi na wewe, mpaka milele
Mimi na wewe, mpaka milele
Mpenzi njoo (njoo)
Mpenzi njoo (njoo)
Mpenzi njoo (njoo)
Mpenzi njoo (njoo)
Njoo taratibu, njoo kipenzi tabibu
Kwanini unaniadhibu, njoo unipe majibu
Taratibu tena bila wasiwasi
Si mapenzi mbele pesa, wapi na wapi?
Nivumilie nimesema sikwaachi
Nishasema nakupenda hata kushinda mitikasi
Wapi, unapopataka let’s go
Kipi, ulichokipenda let’s roll
Ulikuwa na bado utazidi kuwa mine
Nakuimbia, emu sikia hii na Belle 9
Subiria, honey kwanza tukamate line
Ukiniacha njiani, mi na wewe ni kwenda ku-shine
Nipe nafasi nikupe kiss, nikupe hug na love
Iko wazi tuki-hustle hatutolala na njaa
Mbele yako mpenzi wangu mi naapa kwa Jah
Machozi nayolia sasa kesho yageuke furaha
Unachotaka mimi nakupa
Hivyo mrembo nielewe
Penzi langu usijelitupa
Tuwe sote milele
Unachotaka mimi nakupa
Hivyo mrembo nielewe
Penzi langu usijelitupa
Tuwe sote milele
Mi na we
Mimi na wewe, mpaka milele
Mimi na wewe (mi na wewe), mpaka milele (milele)
We ni wangu, wee ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu, wee ee-eh eeh
Mi ni wako, oh oo-oh ooh
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
We ni wangu sina time na vicheche
Mi ni wako kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Wewe, kwa matozi usishoboke
Baby, sina time na vicheche
Oh yeah
Jumbe za mapenzi kutoka kwa “Belle 9: We Ni Wangu Lyrics”
- “Wewe ni wangu unanifaa.”
Maneno haya yanaonyesha hisia ya kina ya kujitolea na kujitolea kwa kupendana.
- “Sipagawi, sichachawi na machangu wa Dar, au sio maa? Hivyo ndivyo mamaa.”
Maneno haya yanaonyesha upendo ambao unabaki thabiti kupitia changamoto.
- “Njoo unipe love kwenye shida na raha.”
Inaalika mpenzi kushiriki upendo katika nyakati ngumu na za furaha.
- “We ni wangu, mimi ni wako.”
Ujumbe unathibitisha umiliki wa pande zote katika upendo, ukitangaza “Wewe ni wangu” na “Mimi ni wako.
- “Mimi na wewe, mpaka milele, nipo tayari hata twende kanisani.”
Ujumbe unaonyesha dhamira ya kuwa pamoja milele na utayari wa kujitolea kudumu, hata ndoa.
- “Huna ujiko, na mimi sina mshiko, kwenye love tume-settle ile bomba.”
Maneno haya yanaonyesha ukubwa wa upendo, kuelezea jinsi upendo unavyoweza kukufanya utulie katika upendo wa kina na wa utimilifu.
- “Unachotaka mimi nakupa, hivyo mrembo nielewe, penzi langu usijelitupa.”
Maneno haya yanamhakikishia mpendwa wako kwamba uko tayari kutoa kile anachotamani.
- “Mbele yako mpenzi wangu mi naapa kwa Jah, machozi nayolia sasa kesho yageuke furaha.”
Maneno haya yanaahidi kujitolea na yanaonyesha matumaini kwamba shida za leo zitageuka kuwa furaha kesho.
- “Unachotaka mimi nakupa, hivyo mrembo nielewe, penzi langu usijelitupa, tuwe sote milele.”
Maneno haya yanasisitiza nia ya kutoa kile mpendwa anachotamani.