Dream ya kutoka kwa block lyrics na mistari kali ya sheng

Posted by:

|

On:

|

Hapa ni dream ya kutoka kwa block lyrics by Buruklyn Boyz, Ajay na Mr. Right. Mwishowe utapata mistari kali ya sheng yenye iko kwa hizi lyrics.

Dream ya kutoka kwa block lyrics

Tano nane

Uh joh

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich, tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich

Tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na kirifle

Society inadhani tunafumble

Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol

Wanatupenda ju tunaenda viral

Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital

Kwa ground mambo ni nare

Maboy wanafaa wareform

Lakini watareform aje

Na washajua ganji ilitoka na ndom

Niko safe niko seti hizi zone

Huwezi nishow venye we ni mrong

Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong

Hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa

Mresh wako asichekе na mgoon

Huku East ama atamangwa

Pereka huko ukidhani atajali hautalambwa

Mkono zinateta bеfore atolewe chai

Ataganda

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich

Tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich

Tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy

Na ka unani-owe ma ganji man

Mi nadai kuwa na profit

That’s why mi hukuwa kwa office

Men in black tu na rock ma koti

Let see mi hutrust manoti

Maisha yangu naachia Sir God

Flow ni ya kimaajabu na

Hii beat ni chopi

B Boys si huset matrends

Na si huset ma subject

Na nimekam nimerock my blue fam

Chini ni red carpet

Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet

Shash iko joh kwa chalice

Mi najikill close hio curtain

Na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern

Huku daily si hurun ma opps

Na unaeza dhani ni circus

Buruklyn Boyz tulileta frakass

Kama ni drill close hio chapter

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich

Tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block

Yaani to get rich

Tuomoke in-short

Nikilala mi huacha maisha yangu

Kwa mikono ya God

Nadai mkumbuke when am gone

Mwendelee kuplay our songs

Ajay na M.Right duo strong

Mistari kali ya sheng from dream ya kutoka kwa block lyrics

  • Nikilala mi huacha maisha yangu kwa mikono ya God.
  • Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs.
  • Maboy wanafaa wareform cuz kwa ground mambo ni nare, lakini watareform aje na washajua ganji ilitoka na ndom.
  • Hizi streets inataka kuwa mpole ama utapangwa.
  • Mi nadai kuwa na profit that’s why mi hukuwa kwa office.
  • Tulikam na dream ya kutoka kwa block, yaani to get rich ama tuomoke in-short.