Falling In Love / Utamu wa mapenzi lyrics – Rayvanny (feat. Nadia Mukami).
Pata pia maneno ya mapenzi kutoka kwa hizi lyrics.
Falling In Love / Utamu wa mapenzi lyrics
Utamu wa mapenzi
Sitamani uishe
Sitamani ukatike
Tusifike mwisho
Mmh deka mapenzi
Ukitaka nikulishe
Na pete nikuvishe
Mi nawe mpaka kifo
(Motif di don)
Nime amua, moyo umekuchagua
Hakuna wakusumbua, mimi ni wako
Mmh naomba dua, penzi lizidi chanua
Na lisiache kukua, nibaki kwako
Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha
I’ve fall in love, fall in love
I’ve fall in love, fall in love
Tabasamu lako (lakoo)
Midomo macho (machoo)
Upendo, huruma umezawadiwa
Tamu tamu yako (yakoo)
Sitoki kwako (kwakoo)
Mapendo huduma umejaliwa
This is love I have been looking
Forever mine
I have been searching, my baby
With you, ooh no no
This is the love I have been waiting
Forever love I have been searching
My baby, my baby
Malaika, wamefananisha
Uzuri usiojificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usiojificha
We wangu wa maisha
I’ve fall in love
Fall in love
I’ve fall in love
Fall in love
I’ve fall in love
Maneno ya mapenzi kutoka utamu wa mapenzi by Rayvanny
- Utamu wetu wa mapenzi sitamani uishe, sitamani ukatike au ufike mwisho.
- Moyo wangu umekuchagua hakuna mwingine, mimi ni wako, wewe ni wangu.
- Napiga dua, penzi letu lizidi kuchanua, na lisiache kukua, nibaki kwako, na ubaki kwangu.
- Nimekuwa nikikutafuta, mpenzi wangu, huu ndio upendo ambao nimekuwa nikingojea.
- Umezawadiwa tabasamu, midomo, macho, uhruma na upendo, kwako sitoki mpenzi.