Harmonize: Nitaubeba Lyrics

Posted by:

|

On:

|

Harmonize: Nitaubeba Lyrics

Imagine uko jangwani umepotea

Mchana juani unatembea

Utokapo ni mbali uendapo ni mbali

Mara ngamia mbebaji akatokea

Na kukushusha mzigo uliokuelemea

Upate afadhali pole na safari

And that’s why today
To me, yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina, twalala
Oooh, baby, twalala

Aaaah, baby, if I close my eyes
Mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie, we ndo
Pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena?
Sikusikii ukilia, sikusikii ukisema
Niko busy na boo, jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba, nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu, my darling
Na ntafika nao kiume

Imagine hujifahamu
Umezimia, umewekewa damu zinaingia
Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara dakitari wa zamu
Akaingia, umepata fahamu, unamwangalia
Machozi yanakuanguka, unatamani funguka

And that’s why today, to me
Yote tisa ila kumi, unanifurahisha
Kwenye tendo
Au unipe penzi la magendo

Aaaah, baby, if I close my eyes
Mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie, we ndo pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena?
Sikusikii ukilia, sikusikii ukisema
Niko busy na boo, jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba, nitaubeba
Na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu, my darling
Na ntafika nao kiume

Iwe kwenye shida na raha
Ama kwenye shibe na njaa
La kwako ndo langu, my darling