Jay Melody “Na Iwe Kheri” Lyrics

Posted by:

|

On:

|

“Na Iwe Kheri” ni wimbo ya msanii, Jay Melody, Mtunzi wa Nyimbo kutoka Tanzania anayetokea Dar es salaam. Hapa chini ni lyrics za Jay Melody “Na Iwe Kheri.”

Jay Melody “Na Iwe Kheri” Lyrics

Unafundisha mapenzi kumkumbuka mwenyezi

Mi mwenzio hadhimu kwenye miezi

Na pia tumeenzi mazuri yako mengi

Siwezi kuyahesabu kwenye dunia

Yaarabi karima nipe afya uzima

Nifunge mwezi mzima majaribu niyahepuke

Nitaje lako jina nikisimama wima

Niombe usiku mzima

Mpaka asubuhi pakuche

Na iwe heri (na iwe kheri)

Ramadhan (ramadhan)

Na iwe heri (na iwe kheri)

Ramadhan (ramadhan kareem)

Na iwe heri (na iwe kheri)

Ramadhan (ramadhan)

Na iwe heri (na iwe kheri)

Ramadhan (ramadhan karem)