Jay Melody: Sawa Lyrics na Maneno Matamu ya Mapenzi

Posted by:

|

On:

|

Hapa kuna Sawa Lyrics by Jay Melody. Mwishoni utapata jumbe za maneno matamu ya mapenzi kutoka kwa huu wimbo.

Jay Melody: Sawa Lyrics

Mapenzi tu,

Nimepagawa hamjui

Ye kila mara ananifanya silali

Namwaza yeye tu

Anayeweka roho yangu juu

Ana utoto tu

Sema uzuri ananipaga asali

Mi nailamba tu

Na penzi letu ni kama sunna

Na ulinzi kama suma

Hata akinuna

Bado unapendeza mchumba

Mkimuona ananichuna

Msinionee huruma

Cha mtu huliwa na mtu

Kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda

Sawa, sawa, sawa

Ah mwambie mi nampenda

Yes (Sawa) Right (Sawa) Sawa

Huo utamu hasa nikiingia

Akifungua gate naingia

Akipanua neti naingia

Na wala sikwepeshi naingia

Sina akili ya kuchange idea

Hapo hapo nimemng’ang’ania

Hapo hapo nimeshikilia

Na visokorokwinyo mtaumia, naahaa

Kwa hakika haya mapenzi

Kusema kweli, yataniua

Kwa hakika haya mapenzi

Kusema kweli, yataniua

Na penzi letu ni kama sunna

Na ulinzi kama suma

Hata akinuna

Bado unapendeza mchumba

Mkimuona ananichuna

Msinionee huruma

Cha mtu huliwa na mtu

Kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda

Sawa, sawa, sawa

Ah mwambie mi nampenda

Yes (Sawa) Right (Sawa) Sawa

Maneno ya mapenzi kutoka kwa “Jay Melody: Sawa Lyrics”

  • Mapenzi tu, nimepagawa hamjui, kila mara ananifanya silali, namuwaza yeye tu.
  • Sema uzuri ananipaga asali, mi nailamba tu
  • Penzi letu ni kama sunna, na ulinzi kama suma, hata akinuna, bado anapendeza mchumba wangu.
  • Akifungua gate naingia, akipanua neti naingia na wala sikwepeshi naingia; sina akili ya ku change mind, hapo-hapo nime mng’ang’ania.
  • Kwa hakika haya mapenzi kusema kweli yataniua, mkimuona basi mwambieni nampenda.