Killy and Harmonize- Ni Wewe Lyrics na maneno matamu ya mapenzi

Posted by:

|

On:

|

Hapa utapata lyrics za wimbo wa Killy na Harmonize “Ni Wewe”. Mwishoni pia utapata maneno matamu ya mapenzi kutoka kwa huu wimbo.

Ni wewe lyrics

Turururu ruru rurururuuu mmmnh…! mnh…!

Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende

Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende

Aah…! Jangwani pakavu umeota mtendee

Eeh…! Waubani waubavu sema wapi twendeee

Jua mapenzi ni siri iiiih yani toka enzi zile za mababu

Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuuh

Aaaaah chuchuchu basi nipe hata kiduchu

Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu

Eeeeeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu

Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuuuh uuuh uh

Oooh baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeeh)

Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)

Ni wewe (ooh baby ni wee)

Njagala kuvaa nawee

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)

Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni

Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni

Aaaaah Halima kwa ajili yako ninajinyima

Penzi nishakatia na bima

Moyo wangu kata we ndo kisima mmmh baby baby

Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hata tabu kuinama

Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama

Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu

Mkunaji kapewa ukurutu

Yani kama chuma kinaliwa na kutu

Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu

Mkunaji kapewa ukurutu

Yani kama chuma kinaliwa na kutu

I swear baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeeh)

Ni wewe (I don’t wanna do you wrong)

Ni wewe (ooh baby ni wee)

Njagala kuvaa nawee

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we

Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)

Maneno matamu ya mapenzi kutoka kwa wimbo “Ni Wewe by Killy and Harmonize”

  • Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende, maana nahisi nimezaliwa nije nikupende.
  • Jua mapenzi ni siri tangu zile enzi za mababu, babe usije ukaghairi ukanipa tabu.
  • Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni.
  • Chuchuchu basi nipe hata kiduchu, sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu. – Mstari huu unaonyesha hamu ya mwili ya mwimbaji kwa mwenzi wake. Kwa wazi anavutiwa naye, na anataka kuwa karibu naye.
  • Oooh baby you make me sing this song Ni wewe ni we (ni weeeh) Ni wewe (I don’t wanna do you wrong) Ni wewe (ooh baby ni wewe) – Mstari huu unaonyesha mapenzi ya kina ya mwimbaji kwa mwenzi wake. Anajua kwamba angepotea bila yeye, na yuko tayari kufanya chochote ili kuwa naye.