Mzee Wa Bwax: Nampakia Mkongo Lyrics

Posted by:

|

On:

|

Wimbo wa Mzee Wa Bwax ft Elisha: Nampakia Mkongo

Mzee Wa Bwax: Nampakia Mkongo Lyrics

Eeyh Kenny

Oya leo namwagilia moyo kwa bia

Leo niko vibe wanangu ex kanipigia

Oya leo namwagilia moyo kwa bia

Leo niko vibe wanangu ex kanipigia

Wanangu nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo

Naziacha zile kifo cha mende nampindisha mgongo

Wanangu nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo

Ooh muache ayakanyage nampindisha mgongo

Ahaa aah

Hii story ya kweli mwenzenu naelezea

Hii story ya kweli jamni ex kanipigia

Nilipopokea simu akaanza kuniambia

Ex wangu nimekumis natamani kukurudia

Na mim nikamuambia siwezi kukuongopea

Mke wangu ananipenda nikimchitigi anajua

Ex akang’ang’ania anataka kuniona

Eti anaumwa akiniona mm tu anapona

Na mm nikafikiria kwann ex ajakoma

Jibu mkongo nimeununua na atakoma

Wanangu nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo

Naziacha zile kifo cha mende nampindisha mgongo

Wanangu nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo

Ooh muache ayakanyage nampindisha mgongo

Mamaa we manyau

Wambele wambele wanyuma wanyuma yupo mgongoni

Kamata ndege mshike mshike mpaka tunduni

Sikuizi naringa nikitoka phone masikioni

Vipi wewe vipi nyinyi vipi mbona siwaoni uwanjani?

Ayaa mama asnati shobo sitaki

Ukiniona salamu nyingi vipi kwan unataka chapati

Shoga kalia kiti namba yako imetoka

Big chawa anamaboss wengi wanaunda kamati

Kumbe namba zangu unazo

Simu zangu huokoti

Sasa ukiniona salamu nyingi vipi kwani unataka chapati

Shoga kalia kiti namba yako imetoka

Kama kawa mi na mwanangu Kenny tunaunda kamati