Nakupenda Jay Melody Lyrics na Meseji za Love

Posted by:

|

On:

|

Hapa kuna “Nakupenda Lyrics” by Jay Melody. Mwishoni pia utapata jumbe za mapenzi kutoka kwa lyrics za kumtumia mpenziwe.

Nakupenda Jay Melody Lyrics

JINI6

Iwe giza, baridi na upepo

Iwe kuna mawingu na minyesho

Your body baby joto (joto)

Unafanya nijihisi special

Unanipa sababu ya uwepo

Kando yako we mtoto

My desire we nipe dawa

Mi mahututi sijielewi, oh my God

Shida ni nimekolea penzini

Shida ni baby uko moyoni, we-we-we

Nakupenda we, nakutaka we

Kwako sijiwezi, oh my love

Mpenzi we, roho yangu we

Kwako sijiwezi, oh my love

Akili, mwili, baby

Hasira zangu navituliza

Ukiongea nasikiliza

Yote sababu ya upendo

Pili-pili, baby

Vindimu chumvi ya kunyunyiza

Yani uroda kupitiliza

Nimeumaliza mwendo

Kiukweli napendwa

Nachanganya na haya ma raha

Shida ni nimekolea penzini

Shida ni baby uko moyoni, we-we-we

Nakupenda we nakutaka we

Kwako sijiwezi, oh my love (oh my baby)

Mpenzi we, roho yangu we

Kwako sijiwezi, oh my love

Meseji za mapenzi kutoka kwa “Jay Melody: Nakupenda Lyrics”

  • Iwe giza, baridi na upepo, iwe kuna mawingu na mvua, your body baby inakuanga joto.
  • Unafanya nijihisi special, unanipa sababu ya uwepo nikiwa kando yako.
  • Hasira zangu unaituliza, ukiongea nasikiliza, yote sababu ya upendo nilio nao kwako.
  • Mpenzi, nikiwa nawe sijielewi cuz wewe ni roho yangu; nakupenda na nakutaka.
  • You’re my desire, baby nipe dawa; nakupenda na nakutaka.