Hii ni niko na pesa kushinda babako kaskie vibaya lyrics.
Kaskie Vibaya Lyrics
[Intro]
Man base
Aha
( Ssaru ) aha
(Murder)
(Black market records)
[Pre-Chorus: Fathermoh]
Ati, chemi chemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe, ka wallat za kamongo
Bari-bari-barabara bana maringo (‘Ringo)
[Chorus: Fathermoh & Ssaru ]
Niko na pesa kushinda babako (Kaskie vibaya huko
kwenu, kaskie vibaya huko kwenu, kaskie vibaya
huko kwenu)
Uh, Niko na pesa na ni za babako (Kaskie vibaya
huko kwenu, kaskie vibaya huko kwenu, kaskie vibaya
huko kwenu)
[Verse 1: Ssaru & FatherMoh ]
Uh
Nilifika jiji nkakutana na budako
Akaniambia ka ni vako hapendangi za mamako
Kisiri siri tukakutana kwako
Ni click, click bang tu juu ya kitanda chako
Uh, hamna
Hela ni nyi mnateseka
Nini unalipa madeni na pochi yako?
Miaka ni ishirini huko chini sitini na
Mneti unatuvunjia mgongo
Ulinipa kachance na nikapita nako
Uliponipiga intro siku ya introduction
Anani-finance na school fees zako
Alinipeanga info kwanza ye si babako
Unapenda wababa huonei watoto wako huruma?
One shot, na kwani hupendi utamu wa nduma
Pesa hukutekenya-tekenya sana, we’ rudi ukakune
wababa wa Duruma
[Chorus: Fathermoh & Ssaru ]
Niko na pesa kushinda babako (Kaskie vibaya huko
kwenu, kaskie vibaya huko kwenu, kaskie vibaya
huko kwenu)
Uh, Niko na pesa na ni za babako (Kaskie vibaya
huko kwenu, kaskie vibaya huko kwenu, kaskie vibaya
huko kwenu)
[Verse 2: Ssaru & Fathermoh ]
Najua unaskia vibaya
Mi vibaya?
Eeh vibaya
Nenda zako
Si naenda kwenu
Kwetu wapi?
Kwa babako
Mi si kutusi lakini kudadadeki
Sikudharau lakini we hudunga ndula feki
Uso marangi uko sure hauniseti?
Cake n’ bake! Ni quality za Fenty
Ati, chemi, chemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe, ka wallati za kamongo
Bari-bari-barabara bana maringo (‘Ringo)
[Chorus: Fathermoh & Ssaru ]
Niko na pesa kushinda babako (Kaskie vibaya huko
kwenu, kaskie vibaya huko kwenu, kaskie vibaya
huko kwenu)
Uh, Niko na pesa na ni za babako (Kaskie vibaya
huko kwenu, kaskie vibaya huko kwenu