Sam Wa Ukweli: Kisiki Lyrics na Jumbe za Mapenzi

Posted by:

|

On:

|

Hapa kuna Kisiki Lyrics by Sam Wa Ukweli. Mwishoni utapata jumbe za mapenzi zinazowasilishwa na wimbo huu.

Sam Wa Ukweli: Kisiki Lyrics

Ayy

Kamoyo kangu kanatamani

Muda wote niwe nawe

Sitamani uende mbali ah

Ukanifanyaaa nipagawe

Natamani mbivu tamu zaidi ya tende

Ninogewee nile nawe

Ntakulinda kwa mwingine usiende

Nijivunie kuwa nawe

Usiniumize, usiniulize hivi kwa nini nakupenda wewe

Kamoyo kangu kilishaumizwa, kilishatendegwa ay ay

Ila basi usipitilize ukiniumiza juu ya penzi lako wewe

Sitamani mwingine zaidi ya wewe oohh

Mimi ni kisiki niliota shambani

Hata kwa jembe we hauning’oi

Hivi kwa nini hatukujua zamani

Nisingeumizwa mimi ningeenjoy

Mimi ni kisiki niliota shambani

Hata kwa jembe we hauning’oi

Hivi kwa nini hatukujua zamani

Nisingeumizwa mimi ningeenjoy

Ase ooh my (ng’ari ng’ari my)

Ohh my (ng’ari ng’ari my)

Ase oh my (ng’ari ng’ari my)

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Nilipendaga nikaumizwa

Nikasema sitopenda tena

Kamoyo kangu nakauliza

Hivi kwa nini mimi napenda tena

Nilipendaga nikaumizwa

Nikasema sitopenda tena

Kamoyo kangu nakauliza

Hivi kwa nini mimi napenda tena

Naona raha kuwa nawe maishani

Naona kama nipo paradise

Tujihadhari na wajanja wa town

Wanaweza kutushusha down

Hao wabaya hao wabaya

Hao wabaya hao wabaya

Mimi ni kisiki niliota shambani

Hata kwa jembe we hauning’oi

Hivi kwa nini hatukujua zamani

Nisingeumizwa mimi ningeenjoy

Mimi ni kisiki niliota shambani

Hata kwa jembe we hauning’oi

Hivi kwa nini hatukujua zamani

Nisingeumizwa mimi ningeenjoy

Ase ooh my (ng’ari ng’ari my)

Ohh my (ng’ari ng’ari my)

Aah ooh my (ng’ari ng’ari my)

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Ase oh my

Sam wa ukweli

Sam mjukuu wa kungerama

Jumbe za mapenzi zinazowasilishwa na wimbo huu “Sam Wa Ukweli: Kisiki”

Kutamani kuwa na mpenzi

 • “Kamoyo kangu kanatamani, muda wote niwe nawe”
 • “Sitamani uende mbali, ukanifanya nipagawe”
 • “Natamani mbivu tamu zaidi ya tende, ninogewe nile nawe”
 • “Nitakulinda kwa mwingine usiende, nijivunie kuwa nawe”

Mapenzi na kuumiza

 • “Usiniumize, hivi kwa nini nakupenda wewe”
 • “Kamoyo kangu kilishaumizwa, kilishatendegwa”
 • “Ila basi usipitilize ukiniumiza juu ya penzi lako wewe”
 • “Sitamani mwingine zaidi ya wewe”
 • “Nilipendaga nikaumizwaga, nikasemaa sitopenda tena, lakini nimekupenda”

Kuthamini mapenzi

 • “Mimi ni kisiki niliota shambani, hata kwa jembe we hauning’oi kutoka kwako”
 • “Hivi kwa nini hatukujua zamani, nisingeumizwa mimi ningeenjoy”

Mtazamo chanya

 • “Naona raha kuwa nawe maishani, naona kama nipo paradise”

Kutahadhari dhidi ya wanaotaka kuharibu mapenzi

 • “Tujihadhari na wajanja wa town, wanaweza kutushusha chini”