Soon ntakusave na love emoji lyrics

Posted by:

|

On:

|

ASA HIVI ~ V-BE – Soon ntakusave na love emoji.

Soon ntakusave na love emoji lyrics

Soon ntakusave na love emoji nitoe official name

PDA bila uwoga juu licence ni pete

I’ll buy some boxers, you can share with me

Uwache kuvisit uishi na me

Kifunguu nkutolee copy usizubae kwa gate

Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe

Si valentines nikueke archives pale kwa TV

L’azma uolewe and it must be me

Kesho yetu usifananishe na jana

L’ami na reli hazitoshani upana

Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you

Leo ikona guarantee

Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana

You’re my rose but I’ll still give you your flowers

Ntakupenda sahii na ka si sahii

Ni sasa hivi

Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana

You’re my rose but I’ll still give you your flowers

Ntakupenda sahii na ka si sahii

Ni sasa hivi

Sasa hivi

Sasa hivi, sasa hivi

Ntakupenda sahii

Ukipigana na dunia, i’ll be fighting by your side

I’ll carry your name, my love is strong enough

Niamini with your weaknesses open up

I’m on your team not against you

I’ll cook your favorite meal, ukule ulambe sahani

Yakimwagika ntapanguza usijali

Lazma nikuzalie watu wenu wanijue

Hio naeza guarantee

Kesho yetu usifananishe na jana

Lami na reli hazitoshani upana

Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you

Leo ikona guarantee

Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana

You’re my rose but I’ll still give you your flowers

Ntakupenda sahii na ka si sahii

Ni sasa hivi

Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana

You’re my rose but I’ll still give you your flowers

Ntakupenda sahii na ka si sahii

Ni sasa hivi

Ntakupenda sasa hivi

I’ll give you your flowers

Sipendi your favorite artist but nakupenda nta compromise

Klabu date ya smocha humind vile burger sifiki price

Kuona movie kwa lapi ni intimate hatuwezi sjikana kwa theatre

Nikwandalie candle lit dinner tokens kidogo vile meter inateta

Kuna tisho flani nimebuy baggy si tuone vile itakuvaa

Ati games gani? Hapa labda kadi I’ll never play with your heart

Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa

Naeza kopa gari twende nayo nanyuki but hio ni trip ya njaa

Ugumu wa mkate huishia kwa chai si twende kibanda

Yetu ni simu iko kwa moto charge inaenda ikipanda

Buroti maguta maguta you are my fertile kiwanja

Ukipotea ntakutafuta I’m one half you are the other