Ezekia Israel – Wewe Ni Mwema Lyrics na Jumbe za nguvu

Posted by:

|

On:

|

Hapa ni “Wewe ni mwema” lyrics by Israel Ezekia. Mwishoni utapata jumbe za nguvu na vifungu vya biblia kutoka kwa huu wimbo.

Wewe Ni Mwema Lyrics

Naja mbele zako Mungu wangu

Nikiwa nazo heshima zote

Ninakili yale uyatendayo

Hakika wewe ni mwema

Naja mbele zako Mungu wangu

Nikiwa nazo heshima zote

Ninakili yale uyatendayo

Hakika wewe ni mwema

Hakika wewe ni mwema

Wewe ni mwema

Haufananishwi

Wewe ni mwema baba

Wewe ni mwema

Haufananishwi

Wewe ni mwema baba

Wewe ndiwe baba wa mataifa

Unatenda mambo ya ajabu

Ninakili yale uyatendayo

Hakika wewe ni mwema

Wewe ndiwe baba wa mataifa

Unatenda mambo ya ajabu

Ninakili yale uyatendayo

Hakika wewe ni mwema

Wewe ni mwema

Haufananishwi

Wewe ni mwema baba

Wewe ni mwema

Haufananishwi

Wewe ni mwema baba

Wewe ni mwema

Haufananishwi

Wewe ni mwema baba

Naja mbele zako Mungu wangu

Nikiwa nazo heshima zote

Ninakili yale uyatendayo

Hakika, hakika

Hakika wewe ni mwema

Ujumbe kutoka kwa “wewe ni mwema”

Tunastahili kwenda mbele za Mungu kwa unyenyekevu na heshima.

“Naja mbele zako Mungu wangu

Nikiwa nazo heshima zote”

Tumshukuru Mungu kwa wema.

“Ninakili yale uyatendayo

Hakika wewe ni mwema”

Mungu ndiye baba wa mataifa yote.

“Wewe ndiye baba wa mataifa”

Mwimbaji anashangazwa na nguvu na maajabu ya Mungu.

“Unatenda mambo ya ajabu

Ninakili yale uyatendayo”

Mwimbaji ana uhakika kwamba Mungu ni mwema siku zote, hata nyakati za taabu.

“Hakika, hakika

Hakika wewe ni mwema”

Vifungu vya biblia kutoka kwa huu wimbo

  • Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. (Mathayo 11:28)
  • Njooni kwangu ninyi nyote mliochoka kutokana na mizigo mizito mnayolazimishwa kubeba. Nitawapa pumziko. (Nahumu 1:7)
  • Kila kipawa chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni, ikishuka kutoka kwa Baba wa nuru za mbinguni ambaye habadiliki kama kivuli. (Yakobo 1:17)
  • Ee Mwenyezi-Mungu, umetenda mambo mengi mno! Yote umeyafanya kwa hekima! Dunia imejaa viumbe vyako! (Zaburi 104:24)
  • Tazama, ataniua; sina tumaini; ila hata hivyonitaithibitisha njia yangu mbele yake. (Ayubu 13:15)