Majina yote mazuri ni yako lyrics na ujumbe wa nyimbo

Posted by:

|

On:

|

Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza – Majina Yote Mazuri ni Yako lyrics

Majina yote mazuri ni yako lyrics

Majina yote mazuri ni yako, eh

Johava Muumbaji wangu

Nikupe jina gani, kwani kila

Lakiheri ni upekee wako

Majina yote mazuri ni yako, eh

Johava Muumbaji wangu

Nikupe jina gani, kwani kila

Lakiheri ni upekee wako

Majina yotee!

Majina yote mazuri ni yako, eh

Johava Muumbaji wangu

Nikupe jina gani, kwani kila

Lakiheri ni upekee wako

Nikupee jina gani!!!

Nikupe jina gani, kwani kila

Lakiheri ni upekee wako

Majina yoteee!!!!

Majina yote mazuri ni yako, eh

Johava Muumbaji wangu

Nikupe jina gani, kwani kila

Lakiheri ni upekee wako

Umeniponyaaa!

Umeniponya nakuita Jehova

Rapha Mungu, Mponyaji Wangu

Umenikoaaa!!

Umeniokoa nakuita Mwokozi

Bwana Mungu wa wokovu wangu

Umenipigania!!!

Umenipigania nakuita Jehova

Nisi bendera ya ushindi wangu

Umeniponya!

Umeniponya nakuita Jehova

Rapha Mungu, Mponyaji Wangu

Umeniokoa!

Umeniokoa nakuita Mwokozi

Bwana Mungu wa wokovu wangu

Umenipigania Yesu!!!

Umenipigania nakuita Jehova

Nisi Bendera ya ushindi wangu

Umenipigania!!!!!

Umenipigania nakuita Jehova

Nisi Bendera ya ushindi wangu

Usifiiiiweee!!!

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na nuru yangu

Wema wako wanijaza moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena kiongozi wa maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na nuru yangu

Wema wako wanijaza moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena kiongozi wa maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na nuru yangu

Wema wako wanijaza moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena kiongozi wa maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Umenifanyaaaa!!

Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa

Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka

ili nami nibariki

Nimekupata wewe nami nikaridhika

Wewe ni yote ndani ya yote

Usifiwe ewe bwana MUUMBA

Wangu na nuru yangu

Wema wako wanijaza moyoni…

Wewe ndiwe Mchungaji wangu

Tena kiongozi wa maisha yangu

Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Ujumbe wa majina yote mazuri ni yako

  • Mungu ni mwema na muweza wa yote. Wimbo huu unamsifu Mungu kwa wema, nguvu, na upendo wake.
  • Mungu ndiye mponyaji na mwokozi wa watu wote. Wimbo unamsifu Mungu kwa uponyaji na mwokozi wa watu wote.
  • Mungu ndiye mtoaji na mlinzi wa watu wote. Wimbo huu unamshukuru Mungu kwa kutimiza mahitaji yetu na kutulinda na kutoka kwa madhara.
  • Mungu ndiye kiongozi. Wimbo huo unasema kwamba Mungu ndiye mchungaji na kiongozi wa watu wote, na kwamba anatutazama kama mboni ya jicho lake.
  • Mungu ndiye chanzo cha baraka zote. Wimbo huu unasema kwamba Mungu amemfanya mwimbaji kuwa baraka kwa wengine, “Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka” na “kwamba ameujaza moyo wa mwimbaji na wema”.