Nakubaliana na neno lako (Gloria Muliro) lyrics

Posted by:

|

On:

|

Nakubaliana na neno lako

Nakubaliana na neno lako lyrics

Nitakubaliana na neno lako ni

Nakubaliana na neno lako, Bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, Bwana.

Nakubaliana na neno lako, Bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, Bwana… X2

Ni Neno lako tu halibadiliki.

Ni Neno lako tu la kutumaini.

Umeliinua juu ya jina lako, Neno.

Halikurudi bure, Neno la kinywa chako Bwana.

Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungonja Bwana.

Acha nilishikilie, nilitumaini nikikungonja.

Kila ulilosema ni kweli, ata likikawia ni kweli, kila ulilosema ni kweli, ata likikawia ni kweli.

Ahadi zako kwangu ni kweli, ata zikikawia, nakubaliaaana…

Nakubaliana na neno lako, Bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, Bwana.

Nakubaliana na neno lako, Bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, Bwana…

Nitasimama, nakubaliana.

Daktari amenipa ripoti yake, sikubaliani.

Maana bwana ulituma Neno lako ili Mimi nipone.

Majina yote duni niliyoitwa,sikubaliani.

Maana mbele za Mungu mi nafaa, tena Mimi ni wa maana.

Maana mbele za Mungu mi nafaa, tena Mimi ni wa maana.

Iwe kwangu utakavyo Baba. Iwe naami upendavyo Baba. Iwe kwangu utakavyo Baba.

Iwe kwangu , utakavyo Baba…

Nakubaliana na neno lako, bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, bwana.

Nakubaliana na neno lako, bwana.

Nitasimama Kwa neno lako, bwana…

Nitasimama, nitasimama X8

Nitaishi, nitaishi X4

Sitakubali, nitaishi.

Milele, Nitaishi.

Niko na mungu, nitasimama.x2

Nina Imani, nitasimama.

Nina neno nitasimama.

Nitaishi, Nitaishi

Huduma yangu, biashara yangu

Nitaishi, nitaishi.

Yote vyangu, nitaishi.