Utukufu na heshima lyrics

Posted by:

|

On:

|

Utukufu na heshima ni wimbo wa Ali Mukhwana. Hapa ni lyrics za utukufu na heshima.

Utukufu Lyrics

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Wewe uliyenihesabia haki

Kwa neema yako

Ni zako usiyeshindwa

Mnara wangu wa utukufu

Na kinga yangu

Ni wewe usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Haki yako bwana yanitangulia

Utukufu wako wanifuata

Ni wewe usiyeshindwa

Ninayemtegemea ni wewe

Ngao yangu ni wewe

Ni wewe usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Uliyenichagua ni wewe

Uzima wangu ni wewe

Ni wewe usiyeshindwa

Anilindaye kwa mabaya ni wewe

Ni wewe bwana

Ni wewe bwana usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Ali mukhwana

Aliye kama wewe ni nani?

Mwenye heshima kama zako ni nani?

Mwenye upendo kama wako ?

Mwenye neema ?

Mwenye kubariki kama wewe?

Mwenye kuinua kama wewe?

Maamlaka yote hapa duniani

Na kule mbinguni

Ni zako usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa

Utukufu na heshima bwana

Ni zako Yahweh

Ni zako usiyeshindwa.

Comments are closed.