Mistari kali ya sheng ya kukatia dem aingie box

Posted by:

|

On:

|

Wanasema mapenzi ni kitu ingine tamu sana, but before ufike hapo lazima ukuwe na the right words ya kukatia nayo ndio ukuwe na dem. Hakuna njia moja ya kuwin dem kuna many ways na si lazima utupe mistari kali kali but also ni muhimu. Ukitupa a genuine pick-up line inaenza kusaidia kubreak the ice na muestablish a meaningful connection.

Kwa hii post, nimejaribu kukusanya mistari na vibes kali ya sheng ya kukatia manzi aingie box zenye zinaenza kukusaidia kuexpress your interest na lasting impression kwa huyo dem umecrushia. Hata kama unatafuta pick up lines za kujaribu uone reaction yake or kama uko serious kumuingiza box, hizi pick up lines ni sure bet, hutabahatisha. Kumbuka  the key to success ni kuwa sincere na ukuwe na respect, tumia hii mistari ukiwa na good intentions.

Sasa acha tuone hizi vibes na pickup lines zenye zinaenza kukusaidia kuingiza dem inbox na muanze safari ya mapenzi.

Mistari kali ya sheng ya kukatia dem/manzi aingie box

Hizi hapa ni vibes motomoto za kukatia dem:

 • “Kwani wewe ni Google? Coz uko na kila kitu natafuta.”
 • “Naenza chukua selfie na wewe? Nataka kuprove kwa mabesthe zangu kuwa kuna an angel among us.”
 • “Umetengenezwa na copper and tellurium? Because you’re Cu-Te.”
 • “Ungekuwa tunda, ungekuwa a fine-apple.”
 • “Excuse me, nafikiri leo nyota tu ndio imeshinda kungaa kwa tabasamu lako.”
 • “Kwani umesafiri to the future? Cause in my dream nakuona tukiwa Pamoja.”
 • “Naenza kufuata place unaenda? Cause niliambiwa to always follow my dreams.”
 • “Kama mwisho wa dunia ungefika, ningechagua kuwa na wewe tu.”
 • “Kwani uko na Wi-Fi ? Cause nafeel some connection btn me and you.”
 • “Ungekuwa nyota, ungekuwa the brightest one in my sky.”
 • “Wewe ni malaika? Cause uko na heavenly beauty.”
 • “Unaenza nichukua hosi? Cause kuwa karibu na wewe inanifanya nakuwa na heart attack.”
 • “Uko na bendeji? Cause nimejiumiza nikikucrushia.”
 • “Uko na kio kwa mfoko wako? Cause najiona kwa vazi lako.”
 • “Inaonekana ulidrop kutoka mbinguni, you’re such an angel.”
 • “Ungekuwa mboga, ungekuwa a cute-cumber!”
 • “Jina lako ni Cinderella? Cause nakuona kwa ndoto zangu kila siku.”
 • “Unakaa camera, kila time nikikuona ninasmile.”
 • “Je, moyo wako ni dira? Kwa sababu unanidirect mahali nastahili kuenda.”
 • “Ningepatiwa kinde kila time nikikufikiria, sahii ningekuwa tajiri sana.”
 • “Kila time nikiwa na wewe ni kama a beautiful dream come true.”
 • “Moyo wangu haupigi; bali huimba wimbo wa mapenzi whenever you’re near.”
 • “Sometimes, ninakosa maneno ya kuexpress my love for you, cause moyo wangu hufurikwa na emotions kibao sana.”
 • “Uko na google map? Cause nimekaalost in your eyes.”
 • “Wewe ni the reason nilibelieve in love at first sight.”
 • “Unabelieve in love at first sight, or nitembeze kiatu?”
 • “Wewe ni mganga? Cause after kukuangalia, kila dem hupoteza maana kwangu.”
 • “Uko na sweet nickname, ama nikuite tu “Babe”?”
 • “Uko na rubber? Cause nataka nifute your past na niandikie our future.”
 • “Kwani moyo wako ni benki? Cause nataka kusave in it forever.”
 • “Unaenza kunikopa busu lako? Ninapromise kugive it back.”

Swahili pick up lines

 • “Wewe ni mrembo sana, umenifanya nimesahau mistari ya kukukatia.”
 • “Wewe ni wa jua? Kwa sababu wewe ni mwanga wa jua.”
 • “Sina uhakika kile nilichofanya ili kukupata wewe , lakini ninashukuru sana kwamba nina wewe katika maisha yangu.”
 • “Wewe ni msichana wa ajabu sana ambaye nimewahi kukutana naye. Nina bahati sana kuwa na wewe kama rafiki yangu.”
 • “Ninapenda jinsi unavyoniangalia.”
 • “Ninapenda jinsi unavyonifanya nihisi.”
 • “Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe.”
 • “Wewe ni kila kitu kwangu.”
 • “Wewe ni mboni ya jicho langu.”
 • “Nitatembea hadi mwisho wa dunia kwa ajili yako.”
 • “Nakupenda kuliko maneno yanavyoweza kusema.”
 • “Wewe ni ndoto yangu kuwa kweli.”
 • “Nina furaha sana kwamba nimekupata.”
 • “Siwezi kusubiri kuona nini mustakabali wa maisha yetu.”
 • “Wewe ni msichana mrembo zaidi duniani.”
 • “Ninapenda jinsi unavyonipa changamoto ya kuwa mtu bora.”
 • “Siwezi kusubiri kuanza familia na wewe.”
 • “Siwezi kusubiri kukua na wewe.”
 • “Nina bahati sana kuwa na wewe katika maisha yangu.”
 • “Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe.”

Kumbuka hizi pick-up lines zinastahili kutumiwa kwa respect na ukiwa na genuine interest kwa dem unayetaka kuingiza box. Kuingiza manzi box na kuestablish a meaningful relationship ni kama inastahili kuwa rite of passage. Anyway, be yourself, ukuwe sincere, and let your personality shine through. Good luck on your journey to winning her heart!

Comments are closed.