Salamu za sheng na majibu

Posted by:

|

On:

|

Sheng ni lugha common hapa Kenya, na hapa chini tumekupa salamu za sheng ambazo hutumiwa na majority ya Kenyans.

Salamu za sheng na majibu

Niaje? – Poa

Niaje morio? – Fiti sana (Morio means a friend.)

Wolani? – Wolani

Aje mtunguyaz? – Poa sana mtunguyaz. (Mtunguyaz means a friend.)

Oyaa rada ni gani? – Safi sana.

Uko freshi? – freshi sana mtu wangu.

Morio rada – rada fiti kaka.

Rada? – Safi safi.

Rada? – Kumetulia.

Mambo? – Poa.

Unaendeleaje? – Poa na wewe? – Niko poa.

Saseni? – Poa.

Inakuaje? – Fiti fiti.

Tuchekiane? – Wazi.

Uko fiti? – Kabisaa.

Halafu? – Sina maneno.

Rada buda? – Nipeleke nayo.

Itakuaje bro? –  Ishakua manze

Kiongozi vipi? – Poa sana kiongozi.

Za kupotea? – Safi bro.

Namna gani? – Poa poa.

Niaje msupa? – Poa poa.

Stori ni gani? – Stori ni mob.

Alafu sasa? – Nichoree.

Aje aje? – Freshi freshi.

Nambie bro? – Poa sana bro.

Vipi? – Poa sana.

Mzito vipi? – Poa sana mzito.

Yoh yoh? – Yoh yoh.

Oyaa? – Oyaa?

Inakuaje? – Ishakua.

Semaje? – Poa.

Oza? – Woza.

Chonjo chonjo? – Wazi joh.

Yela yela? – Fiti fiti.

Mzitooo? – Mzitooo.

Za wapi? – Maroundi one, two.

Form ni gani? – Sina, nichoree.

Mkuu uko? – Kabisaa.

Vile umeona kutoka kwa hizi salamu, hakuna njia moja ya kuaslamia mtu in sheng, unachanganya any word bora imake impression kuwa unasalimia mtu. Pia hakuna answer iko tied, like hii answer ni ya hii salamu, just answer in any way, na huo ndio utamu wa sheng.  Kwa lugha ya sheng “there are no rules”.

Comments are closed.