How to say “I love you” in Sheng: Nakupenda in Sheng.

Posted by:

|

On:

|

“I love you” ni maneno matatu but yenye yako na impact kwa uhusiano. Kusema “I love you” to your partner unafeel kuwa you’re loved, appreciated, and cherished. This words pia inachangia sana kustrengthen relationship yenu na huwaleta karibu.

But unasemaje “I love you” in sheng language? Kuna many ways vile unaenza sema nakupenda in sheng. Coz sheng language inadiffer from place-to-place ama from one person to another. But below nimejaribu kupatiana different ways za kusema “I love you” in sheng, na kama uko na design moto on how to say it, please let me know in the comments section.

How to say “I love you” in Sheng language.

Ways of saying “ I love you”  or nakupenda in sheng

1.Nakulombotove – hii inamaanisha “I love you” in sheng.

Haja tuone design tunaenza tumia hii word kwa sentence.

Examples:

 • Hi my gal, nataka ujue kuwa nakulombotove sana.
 • Manze namlombotove yule dem sana.
 • Nakulombotove more than any person in my life.

2. Nakulove – hii pia inamaanisha nakupenda in sheng.

Hii hapa ni examples on how to use nakulove kwa mistari yako.

Examples

 • Nalove vile unanimake nifeel.
 • Nakulove more than any other person.
 • Nataka ujue that nakulove now and forever.

As you can see, kuna different ways za kusema nakupenda kwa sheng, na hakuna any definitive way, kama uko na word popular unajua, let me know.

“I love you” ni word complex na iko na different meanings. Inaenza mean that uko attracted  kwa mpenzi wako, unamjali sana, unamwaamini, na unataka kuspend the rest of your life na yeye.

Kwa watu wengi, wanaposema “I love you” ni njia moja ya kuexpress love na commitment. Wanadeclare that wako willing kumpatia mpenziwe their heart and soul.

Kwa nini kusema “I love you” ni muhimu?

Kusema “I love you” kwa mpenzi wako ni muhimu for many reasons:

Ni njia moja ya kuexpress mapenzi yako na vile unaappreciate your partner.

Inasaidia kustrengthen uhusiano wenu na kuwaleta Pamoja.

Kumwambia mpenzi wako “I love you” inachangia  kujenga uaminifu na intimacy kwa uhusiano wenu.

Kumwambia mpenzi wako “I love you” unamfanya afeel good and appreciated. Ni njia moja ya kumwambia unapenda, unamthamini na umejitolea kwa mapenzi yenu.

Vile utaanza kusema “I love you” in sheng kwa mpenzi wako.

There is no right or wrong way vile utasema “I love you” kwa mpenzi wako. Kitu muhimu ni kuwa sincere na genuine. Here are a few tips kukusaidia kusema nakulove:

Choose the right time and place. Kama ni mara yako ya kwanza kusema “I love you” don’t say it ile time  mnargue, mko stressed, ama ukiwa hauna uhakika kuwa mapenzi yenu yamekolea. Instead, tulia utegea ile  time mapenzi yenu ni moto na mmerelax focussing on each other.

Look your partner in the eyes. Ukisema “I love you,” make sure unamaintain eye contact na mpenzi wako. Mtazame machoni, hii inamuonyesha kuwa uko sincere na chenye unasema na hasichukulie kama mchezo.

Be specific. Usiseme nakupenda tu utulie .Mwambie kwa nini unampenda. For example, unaenza sema ” Ninakupenda vile unanifanya nacheka, or “Ninapenda jinsi unavyonifanya nihisi.”

Be sincere. Kitu muhimu ni kuwa sincere time unasema “I love you”.  Make sure kuwa maneno unayosema yanatoka moyoni.

Hizi hapa ni mifano ya sheng love quotes vile unasema “I love you” in sheng:

 • “Hujagusa moyo wangu tu, but also umenigusa nafsi yangu pia.”
 • “Pamoja na wewe, nimepata upendo ambao sikujua kuwa upo, na furaha ambao sikutarajia nitapata.”
 • “Moyo wangu haupigi; bali huimba wimbo wa mapenzi whenever you’re near.”
 • “Mapenzi yangu kwako is like a fire that never die.”
 • “You are my greatest adventure.”
 • “Nikiwa na wewe kila time inakuwa a special occasion.”
 • “Mapenzi yako nikama nanga inayenishikilia kwa maji yanayovuma.”
 • “Machoni mwako, ninaona  a world of love.”
 • “Wewe ni the reason ya mimi  kusmile every day.”
 • “Mimi ni wako, siwezi kujitoa kwako.”

For more of these sheng love quotes kwa mpenzi wako read here and here.

Comments are closed.