Hapa tuna memes za kuchekesha za mapenzi zenye unaenza tuma kama picha kwa mpenziwe ama kuweka status.
Vichekesho na memes za mapenzi
Ukiwa kwenye penzi jipya alf Tanesco wakate umeme

Amina wangu Ahadi yetu iwe ile ile wakija wakatae

Mkewangu sijui anauza supu kisiri siri kunajamaa katuma sms kauliza huyo
mbuzi bado yupo?

“Nimekuita hapa nikwambie nina mimba yako na kuitoa sitaki”

Mapenzi yenyewe Hujui kazi kuomba omba tuu hela kama Konda wa daladala

Ukiulizwa kwanini upo single, utajibu sababu gani?

Unakutana na mtoto shape imeenda shule, sura imefukuzwa ADA

Dada unakuwaje single wakati “Photo Lab” zinawaokoa wenzako, we jiedit tu utajieleza baadaye

NIMEMWAMBIA AJE NA ILE NGUO YAKE ALIYOIVAA KWENYE PHOTO LAB
KANIZIMIA SIMU.

Napigana dhidi ya umaskini wangu, na wewe bado unataka nipiganie penzi lako.
Never

Kati ya pesa na mapenzi kipi Kinakutesa wewe apo.

photo lab zinajua kubadilisha watu nyie, ex wangu kabla na baada ya kutumia photo lab

Ex wangu popote ulipo najua nilikuvunja moyo ila usijali ni mambo ya ubinadamu tu, ila naomba huyo uliye naye akuvunje shingo kenge wewe.

Yeye: Bebe siku tukifunga ndoa nataka uache kucheza
mpira
Mimi: Sawa
Yeye: Uache na kubeti mpnz
Mimi: Sawa
Yeye: na uache kutoka usiku kwenda kuangalia mpira
Mimi: sawa
Yeye: nini kingine utakiacha bebe
Mimi: Hilo wazo la kukuoa

Mwanamke usimforce mumeo kwenda Kanisani kama hataki muache

Unapo olewa mampenzi wako katika ndoto

WE MBABA KIPARA, NIPE HELA
YANGU BASI NIONDOKE
YANI RAHA TUMEPATA WOTE ALAFU HELA NITOE MIMI

JITAHIDI UTAJUA TU, VINGINEVYO MSHAHARA WOTE UTAISHIA
KWENYE
DALADALA

Kama couple yenu hamna mwenye IPhone wala Samsung achaneni Jitu-Jeusi mkatafute pesa

Olewa Na Uliyezaa Nae
Banaah Acha Kusumbua

Wadada wenye iPhone Na Samsung Hata Hawana Mpango Na Photo Lab, Shida Iko Kwa Hawa Ndugu Zetu Wa Tecno Na Infinix..!

My Darling: Unafanya Nini Now? Me: Nipo Tu Home Nacheck
Movie..!

Acha waende
bana,wanatuleteaje kijana anatumia tecno

Halooo waifu nipo kuangalia Mpira Kuna kelele sana Takupigia badae
nikitoka,.

One response to “Vichekesho vya mapenzi (memes za mapenzi)”