Tag: Kamusi
Maana ya neno aila na English translation
Maana ya neno aila Matamshi: /aila/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: jamaa, wanaohusiana kidamu…
Maana ya neno aidini na English translation
Maana ya neno aidini Matamshi: /aidini/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: kemikali ya majimaji…
Maana ya neno aidha na English translation
Maana ya neno aidha Matamshi: /aiða/ (Kivumishi) Maana: neno litumikalo kuonyesha kuwa kuna nyongeza ya…
Maana ya neno aibu na English translation
Maana ya neno aibu Matamshi: /aibu / (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) 1. jambo au…
Maana ya neno aibisha na English translation
Maana ya neno aibisha Matamshi: /aibisha/ (Kitenzi elekezi) Maana: teremsha heshima ya mtu kwa kumfanyia…
Maana ya neno aibika na English translation
Maana ya neno aibika Matamshi: /aibika/ (Kitenzi si elekezi) Maana: pata fedheha baada ya kufanya…
Maana ya neno ahueni na English translation
Maana ya neno ahueni Matamshi: /ahuɛni/ (Nomino katika ngeli ya [i-]) Maana: afadhali au nafuu…
Maana ya neno ahsante na English translation
Maana ya neno ahsante Matamshi: /asante / ahsante! 1 (Kihisishi) Maana: pia asante! Tamko la…
Maana ya neno ahirisha na English translation
Maana ya neno ahirisha Matamshi: /ahirisha/ (Kitenzi elekezi ) chelewesha jambo au shughuli inayopaswa kufanyika.…
Maana ya neno ahirika na English translation
Maana ya neno ahirika Matamshi: /ahirika/ (Kitenzi si elekezi) Maana: chelewa; kawia. Mnyambuliko wake ni:…