Tag: muundo wa barua ya kirafiki

  • Jinsi ya kuandika barua ya kirafiki na mifano

    ,

    Barua ya kirafiki ni barua ambayo mtu huandika kwa mwenzake au mtu wa familia yake. Barua hii haichukui mtindo wowote maalum wa kuandikwa. Huwa na anuani moja tu: ya mpokeaji. Barua hii haitumii lugha rasmi na mwandishi anaweza kumrejelea mwandikiwa kwa kutumia jina lake la kwanza. Aidha barua za kirafiki haziitaji kutiwa saini. Read more