Tag: siku za juma

  • Siku za wiki

    Kwa Kiswahili, siku ya kwanza ni Jumamosi, “mosi” inamaanisha moja: Jumapili ni siku ya pili, Jumatatu ni siku ya tatu, Jumanne ni siku ya nne, Jumatano ni siku ya tano , Alhamisi ni siku ya sit ana Ijumaa ni siku ya saba. Read more