Tag: Ukubwa wa maneno
Udogo na ukubwa wa neno mlango
Neno mlango linaanza na herufi {m} mwanzoni na lina silabi mbili au zaidi katika mzizi,…
Udogo na ukubwa wa neno ndizi
Neno ndizi huanza na herufi {n} mwanzoni kisha kufuatwa na konsonanti ingine kuunda herufi za…
Udogo na ukubwa wa neno gari
Nomino gari liko katika ngeli ya LI-YA. Kwa hivyo, tunapachika kiambishi {ji} kwa gari ili…
Udogo na ukubwa wa neno mji
Tukidondosha herufi {m} na kupachika kiambishi {ji}, ukubwa wa mji utakuwa jiji.
Udogo na ukubwa wa neno mbuzi
Nomino mbuzi huanza na herufi {m} mwanzoni na lina zaidi ya silabi mbili katika mzizi,…
Udogo na ukubwa wa neno ng’ombe
Neno ng’ombe linaanza na sauti {n} mwanzoni na hufuatwa na konsonanti {g}, kuunda herufi za…
Udogo na ukubwa wa neno ndovu
Nomino ndovu inaanza na herufi {n} mwanzoni na kufuatwa na konsonanti nyingine kuunda herufi za…