Pleasure in Swahili (English to Swahili Translation)

Pleasure definition in English

  • A feeling of happy satisfaction and enjoyment.
  • Used or intended for entertainment.

Pleasure in Swahili

Pleasure in Swahili is translated as: raha, furaha or bashasha.

Examples of pleasure in Swahili in sentences

  • Kukuoona daima ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (To see you is always a great pleasure.)
  • Kuwa nawe ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (It is a great pleasure being with you.)
  • Nitafanya kwa raha/furaha/starehe/bashasha. (I’ll do it with pleasure.)
  • Ni furaha/starehe/bashasha yetu. (It’s our pleasure.)
  • Raha/Furaha ni chanzo cha maumivu. (Pleasure is the source of pain.)
  • Kuogelea baharini ni raha/furaha/starehe/bashasha yangu kubwa zaidi. (To swim in the ocean is my greatest pleasure.)
  • Watu wengine hutafuta raha/furaha/starehe/bashasha pekee. (Some people pursue only pleasure.)
  • Tunapata raha/furaha/starehe/bashasha zaidi kutoka kwa masomo yetu. (We derive further pleasure from our study.)
  • Vitu vichache huleta raha/furaha/starehe/bashasha nyingi kama muziki. (Few things give us as much pleasure as music.)
  • Kuna furaha zaidi katika kupenda kuliko kupendwa. (There is more pleasure in loving than in being loved.)
  • Hali nzuri ya hewa iliongeza raha/starehe/bashasha yetu. (Nice weather added to our pleasure.)
  • Watu wengine hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kutazama sinema za kutisha. (Some people derive pleasure from watching horror movies.)
  • Yananiletea raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (That gives me great pleasure.)
  • Mkutano ulimpa raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (The meeting gave her extreme pleasure.)
  • Mtu mpweke hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kuchunguza wadudu. (The lonely man derives pleasure from observing ants.)
  • Hali nzuri ya hewa iliongeza raha/starehe/bashasha yetu. (The beautiful weather added to our pleasure.)
  • Kitabu hiki kitakuletea raha/furaha/starehe/bashasha kubwa. (This book will give you great pleasure.)
  • Ni raha/furaha/starehe/bashasha kubwa kuwa hapa. (It is a great pleasure to be here.)
  • Nitakusaidia kwa raha/furaha/starehe/bashasha ikiwa utanitaka. (I’ll help you with pleasure if you want me to.)
  • Daima ilikuwa raha/furaha/starehe/bashasha kufanya kazi nawe. (It has always been a pleasure to work with you.)
  • Watu wengine huandika vitabu kwa pesa, wengine kwa raha/furaha/starehe/bashasha. (Some people write books for money, others for pleasure.)
  • Ilikuwa raha/furaha/starehe/bashasha kukutana nawe. (It was a pleasure to meet you.)
  • Ulikwenda nje kwa raha/furaha/starehe/bashasha au kwa kazi? (Did you go abroad for pleasure or on business?)
  • “Asante kwa msaada wako.” “Ni furaha/starehe/bashasha yangu.” (“Thank you for your help.” “It’s my pleasure.”)
  • Mgonjwa mpweke hupata raha/furaha/starehe/bashasha kutokana na kushona. (The lonely patient derives pleasure from sewing.)
  • Furaha/starehe/bashasha ni yangu. (The pleasure is mine.)
  • Unaweza kucheza kwa raha/furaha/starehe/bashasha yako. (You may play at your pleasure.)
  • Safari yetu ijayo ni kwa raha/furaha/starehe/bashasha, si kwa kazi. (Our next trip is for pleasure, not for work.)
  • Tunafurahi sana kukutana na nyote jioni hii. (We take great pleasure in meeting all of you this evening.)
Related Posts