Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Haba ni:
-siotosha.
Mfano: Mvua ilikuwa haba mwaka huu.
Visawe vya haba ni chache, kidogo.
Kinyume cha haba ni: tele au -ingi (kama vile; mingi, nyingi, n.k.)
Tele ni -liojaa kwa wingi.
Mfano: Kuna watu tele sokoni.