Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Hama ni ondoka mahali na enda kwingine.
Kinyume cha hama ni kaa, ishi.
Kaa ni kuwa na makazi mahali.
Mfano: Ninakaa papa hapa mjini.
Ishi ni kuwa na makazi mahali.
Mfano: Anaishi Nairobi.