Kinyume cha neno fika

Fika ni wasili mahali ulipokusudia kwenda.

Timia.

Mfano: Wakati wa kwenda nyumbani umefika.

Kisawe cha fika ni wadia.

Kinyume cha fika

Kinyume cha fika ni ondoka, toka, -enda.

Ondoka ni toka mahali pamoja na enda kwingine.

Toka ni ondoka sehemu fulani na kwenda sehemu nyingine.

Enda ni tembea au safiri kutoka mahali au sehemu fulani hadi mahali pengine.

Related Posts