Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Umoja na wingi wa damu – Sarufi
Wingi wa “damu” ni “damu.” “Damu” ni nomino isiyohesabika. Haina wingi. (Neno “damu” ni majimaji mekundu yanayozunguka kwenye mishipa ya kiumbe) Read more
Umoja na wingi wa maziwa
Neno maziwa tayari liko katika hali ya wingi, ni nomino isiyohesabika, kwa hivyo wingi wa maziwa ni maziwa. Read more
Umoja na wingi wa maji – Sarufi
Maji ni nomino isiyohesabika Hakuna wingi wa maji, hatuwezi kuhesabu maji. Kwa hivyo wingi wa maji ni maji. Read more
Maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi D
Haya ni maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi d. Aidha haya pia ni manno ya sauti ya /d/. Read more
Udogo na ukubwa wa neno gari
Nomino gari liko katika ngeli ya LI-YA. Kwa hivyo, tunapachika kiambishi {ji} kwa gari ili kupata ukubwa. Ukubwa wa gari utakuwa jigari. Read more
Udogo na ukubwa wa neno mji
Tukidondosha herufi {m} na kupachika kiambishi {ji}, ukubwa wa mji utakuwa jiji. Read more
Udogo na ukubwa wa neno mbuzi
Nomino mbuzi huanza na herufi {m} mwanzoni na lina zaidi ya silabi mbili katika mzizi, kwa hivyo tunadondosha herufi {m}. Read more
Udogo na ukubwa wa neno ng’ombe
Neno ng’ombe linaanza na sauti {n} mwanzoni na hufuatwa na konsonanti {g}, kuunda herufi za konsonanti mbili, {ng}. Kwa hivyo, tunadondosha herufi {n} na kupata ukubwa wa ngombe kama gombe. Read more
Udogo na ukubwa wa neno ndovu
Nomino ndovu inaanza na herufi {n} mwanzoni na kufuatwa na konsonanti nyingine kuunda herufi za konsonanti mbili, kwa hivyo tunadondosha herufi {n} na kupata ukubwa wa ndovu kama dovu. Read more
Udogo na ukubwa wa neno mti
Nomino mti, inaanza na herufi {m} mwanzoni na ina silabi moja ya mzizi, tunadondosha herufi {m} na kupachika kiambishi {ji}. Kwa hivyo ukubwa wa mti ni jiti. Read more