Category: Maana ya maneno
Maana ya neno afkani na English translation
Maana ya neno afkani Matamshi: /afkani/ Nomino katika ngeli ya [a-wa]) afkani 1 Maana: mtu…
Maana ya neno afisa na English translation
Maana ya neno afisa Matamshi: /afisa/ Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: 1. mtu anayekabidhiwa…
Maana ya neno afikiana na English translation
Maana ya neno afikiana Matamshi: /afikiana/ (Kitenzi si elekezi) Maana: patana au fikia makubaliano juu…
Maana ya neno afiki na English translation
Maana ya neno afiki Matamshi: /afiki/ (Kitenzi elekezi) pia wafiki Maana: 1. kubalia wazo, hoja…
Maana ya neno afezia na English translation
Maana ya neno afezia Matamshi /afɛzia/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: athari au madhara…
Maana ya neno afande na English translation
Maana ya neno afande Matamshi: /afandɛ/ afande 1 (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: jina…
Maana ya neno afanalek! na English translation
Maana ya neno afanalek! Matamshi: /afanalɛki/ (Kihisishi) Maana: tamko linalotamkwa kuonyesha hali ya kushangazwa na…
Maana ya neno afadhali na English translation
Maana ya neno afadhali Matamshi: /afaðali/ Afadhali 1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) 1. nafuu…
Maana ya neno afa na English translation
Maana ya neno afa Matamshi: /afa/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Wingi wa afa ni…
Maana ya neno advansi na English translation
Maana ya neno advansi Matamshi: /advansi/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: 1. malipo ya…