Category: Maana ya maneno

  • Maana ya neno aali na English translation

    Maana ya neno aali Aali ni kivumishi, ina maana ya hali ya juu. Visawe vya aali ni: aula, bora, adhimu. Mfano: Almasi ni madini aali. Aali Katika Kiingereza (English translation) Aali katika Kiingereza ni: excellent, noble, high, exalted. Read more

  • Maana ya neno aalam na English Translation

    Maana ya neno aalam Aalam ni kivumishi. Neno aalam hutumika katika muktadha wa dini. (Mungu), mwenye kujua zaidi. Mfano: Allahu ya aalam. Aalam Katika Kiingereza (English translation) Aalam katika Kiingereza ni: knowledgeable, all knowing. Read more

  • Maana ya neno a’a na English translation

    Maana ya neno a’a (Kitenzi), ni neno linalotumika kukataa jambo. Mfano: Leo utakwenda sinema? A’a! Siendi. A’a katika Kiingereza ( English Translation) A’a katika Kiingereza ni: no. Read more

  • Maana ya neno aa! na English Translation

    Maana ya neno aa! Aa! ni kihisishi 1. Ni neno linalotumika kuonyesha kuto- ridhika. 2. Neno la kuonyesha uchungu. Mfano: Aa! Nimeumia. 3. Neno la kuonyesha kukataa. 4. Ni neno la kuonyesha mshangao, furaha au kukubali. Kisawe cha aa! ni ahaa! Aa! Katika Kiingereza ( English Translation) Aa katika Kiingereza ni oh! Read more

  • Maana ya neno a! na English Translation

    Maana ya neno a! A! ni kihisishi: 1. sauti anayoitoa mtu anaposhangaa. 2. sauti anayotoa mtu kuonyesha dharau. A! Katika Kiingereza ( English Translation) A! katika Kiingereza ni: Oh! Read more