Category: Kamusi
Maana ya neno agiza na English translation
Maana ya neno agiza Matamshi: /agiza/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. amuru mtu kufanya jambo. 2.…
Maana ya neno agia na English translation
Maana ya neno agia Matamshi: /agia/ (Kitenzi si elekezi) Maana: vutia au pendeza. Mnyambuliko wake…
Maana ya neno aghlabu na English translation
Maana ya neno aghlabu Matamshi: /aylabu/ (Kielezi) Maana: mara nyingi au marudio ya mara kwa…
Maana ya neno Agano la Kale na English translation
Maana ya neno Agano la Kale Matamshi: /aganɔ la kalɛ/ (Nomino katika ngeli ya [li-])…
Maana ya neno Agano Jipya na English translation
Maana ya neno Agano Jipya Matamshi: /aganɔ Jipja/ (Nomino katika ngeli ya [li-]) Maana: Sehemu…
Maana ya neno agano na English translation
Maana ya neno agano Matamshi: /aganɔ/ (Nomino katika ngeli ya [li-ya]) Wingi wa agano ni…
Maana ya neno agana na English translation
Maana ya neno agana Matamshi: /agana/ (Kitenzi si elekezi) Maana: 1. ombeana heri. 2. afikiana…
Maana ya neno agaa na English translation
Maana ya neno agaa Matamshi: /aga:/ (Kitenzi si elekezi ) Maana: 1. ponyoka au teleza.…
Maana ya neno aga na English translation
Maana ya neno aga Matamshi: /aga/ Aga 1 (Kitenzi) Maana: punga mkono au sema maneno…
Maana ya neno afyuni na English translation
Maana ya neno afyuni (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: Dawa ya kulevya ambayo huwa…