Category: Kamusi
Maana ya neno ache! na English translation
Maana ya neno ache! (Kihisishi), neno la kumtakia mtu heri wakati wa sherehe. Mfano: Ache…
Maana ya neno achari na English translation
Maana ya neno achari (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), mchanganyiko wa matunda pamoja na chumvi…
Maana ya neno achan.a na English translation
Maana ya neno achan.a Achan.a 1. (Kitenzi <sie>) tengana na mtu aghalabu mke na mume.…
Maana ya neno acham.a na English translation
Maana ya neno acham.a (Kitenzi <sie>), weka kinywa wazi mithili ya mtu apigaye miayo. Mnyambuliko…
Maana ya neno acha! na English translation
Maana ya neno acha! (Kihisishi), neno linalotumiwa kuonyesha mshangao. Mfano: Acha wee! Ni kweli usemayo?…
Maana ya neno ach.a na English translation
Maana ya neno ach.a 1. (Kitenzi) <ele> sita kufanya jambo. Mfano: Juma ameacha shule. 2.…
Maana ya neno abyadhi na English translation
Maana ya neno abyadhi 1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), abyadhi ni karata isiyokuwa na…
Maana ya neno abwe! na English translation
Maana ya neno abwe! (Kihisishi), Abwe ni tamko la kushangaa kwa namna ya kudharau. Kisawe…
Maana ya neno abuwabu na English translation
Maana ya neno abuwabu Abuwabu ni nomino katika ngeli ya [zi-]), maana yake ni fremu…
Maana ya neno aburani na English translation
Maana ya neno aburani (Aburani ni nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), ni ahadi. Aburani Katika…