Brennon Nakisha
Wingi wa mwavuli ni miavuli.
Read More…
Wingi wa mto ni mito.
Wingi wa hili ni haya.
Wingi wa jiko ni meko.
Wingi wa ua ni maua.
Wingi wa wembe ni nyembe.
Wingi wa uwanja ni nyanja.
Wingi wa nyani ni nyani.
Wingi wa chura ni vyura.
Wingi wa ulimi ni ndimi.