Christopher Mwahang…
 
Notifications
Clear all

Christopher Mwahangila: Yesu Bado Ni Baba Lyrics


(@kwamboka)
Trusted Member
Joined: 6 months ago
Posts: 31
Topic starter  

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ni mwalimu wangu

Yesu wewe kiongozi wangu

Yesu wewe tumaini langu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Hata majaribu yajaponisonga

Yesu ni Baba yangu, Baba

Hata magumu yakiwa makubwa

Bado ni Baba yangu, wewe

Hata magonjwa yajaponitikisa

Bado ni Baba yangu, Yesu

Nijapotukanwa, na kudharauliwa

Bado ni Baba yangu, Yesu

Nitupwe gerezani, ndugu wanikimbie

Bado ni Baba yangu, Yesu

Yesu wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ni mwalimu wangu

Yesu wewe kiongozi wangu

Yesu wewe tumaini langu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Ninapotembea kwenye njia nii

Baba wapo wakorofi

Malengo yao

Ninase kwenye tanzi zao

Wanipige kwa mawe, Baba

Najua ahadi zako ni kweli, Baba

Mimi nategemea kutoka kwako mungu

Wewe ulisema

Watakuja kwa njia moja

Utawatawanya kwa njia saba

Simama nipigie hawa, nipigie hawa

Maana wewe ni Baba yangu

Simama nipigie hawa

Ninakutegemea wewe Yesu, Baba

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ni mwalimu wangu

Yesu wewe kiongozi wangu

Yesu wewe tumaini langu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ndiwe Baba yangu

Yesu wewe ni mwalimu wangu

Yesu wewe kiongozi wangu

Yesu wewe tumaini langu

Yesu ninakutegemea

Wewe ndiwe Baba yangu

 

https://mhariri.com/song-lyrics/gospel-lyrics/christopher-mwahangila-yesu-bado-ni-baba-na-mafunzo/


   
Quote