Notifications
Clear all

Taja orodha ya marais wa Kenya na kipindi chao cha kutawala.

   RSS

0
Topic starter

Marais wa Kenya

@ikrstymy marais wa kenya sahi Ruto ni watano tangu Kenya wapate uhuru

3 Answers
0

Mzee Jomo Kenyatta(1963-1979)

Daniel Moi(1979-2002)

Mwai Kibaki(2002-2013)

Uhuru Kenyatta(2013-2022)

William Ruto(2022-hadi sasa)

0

Mzee Jomo Kenyatta(1963-1979)

Daniel Moi(1979-2002)

Mwai Kibaki(2002-2013)

Uhuru Kenyatta(2013-2022)

William Ruto(2022-hadi sasa)

0

Mzee Jomo Kenyatta alitawala tangu wakati wa taifa la Kenya kupata uhuru mwaka wa 1963 hadi1979 alipoaga dunia. Rais Daniel Moi akachukua usukani kutoka 1979 hadi alipostaafu mwaka wa 2002. Baadaye, Rais Mwai Kibaki akapita katika uchaguzi wa mwaka wa 2002 na akatawala kwa miaka 10. Vile vile, Rais Uhuru Kenyatta alichaguliwa mwaka wa 2013 na akatawala kwa miaka 10. 

Rais William Samoei Ruto alichaguliwa mwaka wa 2022 na bado yuko uongozini.

This post was modified 7 months ago by Yvonne1900