Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Una maoni gani kuhusu mwito wa wanachama wa UDA wa Nairobi wa kupunguza matamshi ya kisiasa ndani ya muungano wa Kenya Kwanza?

   RSS

0
Topic starter

Tone down political rhetoric, Nairobi UDA MCAs tell Kenya Kwanza leaders

2 Answers
0

Nahisi kwamba tunarudi nyuma kama nchi tukianza kuwa na misimamo kama hii. Katiba inaruhusu uhuru wa kuongea. Haijalishi uko katika chama gani, unazungumzia kuunga ama kupinga chama chako. Wanasiasa wana uhuru wa kuongelelea mambo tofauti katika vyama vyao bila kuzuiliwa kwa njia yeyote. Kwa kusema haya nahisi inafaa kuwa kidhibiti au adabu kwa njia ambayo wanasiasa wanazungumza. Wanayoyasema yawe na uwezo kuvisaidia vyama vyao kuenda mbele ila si kuvitawanya.

@dmaroko Nakuunga mkono kwa sababu hizi vita za maneno kwa wanasiasa inafanya wafuasi wao pia kupigana na kuwa na uadui kwa sababu ya matamshi ya viongozi wao. Lazima wanasiasa waajibike kwa yale matamshi isije ikaleta chuki na fujo. Ingawa katiba imewapea uhuru wa kuongea wanafaa kuwekewa mipaka. Wamezidi na hawasemezeki.

0

Nakuunga mkono kwa sababu hizi vita za maneno kwa wanasiasa inafanya wafuasi wao pia kupigana na kuwa na uadui kwa sababu ya matamshi ya viongozi wao. Lazima wanasiasa waajibike kwa yale matamshi isije ikaleta chuki na fujo. Ingawa katiba imewapea uhuru wa kuongea wanafaa kuwekewa mipaka. Wamezidi na hawasemezeki.