Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Unatafsiri vipi tahadhari ya Ali Roba kwa DP Gachagua kuhusu siasa za Mlima Kenya?

   RSS

0
Topic starter

Ali Roba cautions DP Gachagua over Mt. Kenya politics

@aislingbeatha DP gachagua anafaa kufanya kwa ukaribu na jamii ya kalenjin ili wakti wa 2027 akue na ufuazi mkibwa kutoka sehemu ya bonde la ufa. Kuwa na wafuazi wengi bonde la ufa utakua wa maana sana kwake kwa siasa sa 2032