Notifications
Clear all
Topic starter
15/04/2024 7:58 am
Ama 1
Maana:
1. neno lenye kutumiwa katika chaguo la moja kati ya mambo mawili au vitu viwili.
2. tamshi la kuchochea mtu achangamkie hoja fulani.
Ama! 2
Maana: tamko linalofichua hisia ya kushangaa.
Ama! 3
Maana: ambata.
Ama 4
Maana: juzuu ya mwanzo katika dini ya Kiislamu ambayo huisoma mtoto punde anapoanza madarasa.
Ama 5
Maana: juzuu ya mwisho katika Kurani.
https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-ama-na-english-translation/