Notifications
Clear all

Maana ya neno amfetamini


(@brennonnaki)
Joined: 9 months ago
Posts: 180
Topic starter  

dawa ya kulevya ambayo huamsha na kuusisimua mfumo mkuu wa neva za mwili na pia hutumiwa kumchangamsha mtu aliyezongwa na huzuni; dawa ya kulevya inayotumiwa mara nyingine kudhibiti ulaji ili kupunguza unene wa mtu.

https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-amfetamini-na-english-translation/


   
Quote