Notifications
Clear all

Maana ya neno aminisha


(@brennonnaki)
Joined: 1 year ago
Posts: 180
Topic starter  

1. acha kitu au jambo chini ya mamlaka ya mtu.

2. thubutu au jasiri kufanya jambo la hatari.

3. sadikisha mtu juu ya kitu au jambo fulani.

https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-aminisha-na-english-translation/


   
Quote