What does the Bible say about life after death?
Mhubiri 9:5 ESV
Kwa maana walio hai wanajua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana thawabu tena, kwa maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Warumi 10:9-13 ESV
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini na kuhesabiwa haki, na kwa kinywa mtu hukiri na kuokolewa. Kwa maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila amwaminiye hatatahayarika.” Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki; kwa maana Bwana wa wote ni yeye yule, huwapa wote wamwitao utajiri wake. Kwa maana “kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.”
Yohana 5:28-29 ESV
Msistaajabie hayo, kwa maana saa inakuja ambayo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake na kutoka, wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliofanya mabaya kwa ufufuo wa hukumu.
Mhubiri 12:7 ESV
Na mavumbi hurudi ardhini kama yalivyokuwa, na roho inamrudia Mungu aliyeitoa.
Ufunuo 1:18 ESV
Na aliye hai. nalikufa, na tazama, ni hai hata milele na milele, nami ninazo funguo za Mauti na Kuzimu.
Mathayo 25:46 ESV
Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele, bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele.”
Bibilia inaeleza wazi kuwa kuna maisha baaada ya kifo.hila wale tu waliomwamini mwenyezi mungu na kufwata mahagizo yake ndio watakao okolewa.mda tu ikifika wakati yesu atarudi duniani,wale waliofariki watafufuliwa wa kwanza kwenda kumlaki mwana kondoo kisha walio hai watanyuvuliwa juu.