Notifications
Clear all

Hekima ni nini katika biblia?

   RSS

0
Topic starter

Maana ya hekima katika biblia


3 Answers
0

Kulingana na Mithali 9:10 hekima ni kumcha Mungu. Kumcha Mungu ni msingi wa hekima ya kweli. 

“Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.” – Mithali 9:10


0

Kutumia maarifa kwa njia za vitendo ili kuishi maisha ya haki.

Zaburi 90:12 “Utufundishe ufupi wa maisha yetu ili tuweze kuwa na hekima.”


0

Uwezo wa kuhukumu vyema na kufanya maamuzi sahihi.

“Mimi, hekima, nimefanya werevu kuwa makao yangu; Natafuta maarifa na busara.”  – Mithali 8:12