Notifications
Clear all

Facebook in Swahili inaitwaje

   RSS

0
Topic starter

Facebook kwa lugha ya Kiswahili inaitwa?


4 Answers
0

Facebook ni jina la kampuni ama brand kwa hivyo jina Facebook kwa Kiswahili litapakia tu Facebook.


0

Ni Facebook tu, Facebook ni nomino ya kipekee. Haina tafsiri yake kwa Kiswahili.


0

Kitandazi- Facebook


0

Facebook