Notifications
Clear all

Kinyume cha ajuza ni?

   RSS

0
Topic starter

Kinyume cha neno ajuza


4 Answers
0

Kinyume cha ajuza ni shaibu au buda


0

Nomino hazina vinyume


0

shaibu/buda


0

ajuza ni bibi kizee

shaibu ni mwanamume mzee